RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza na kupokea mkono wa pole kutoka kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Mary Chatanda, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar ujumbe wake kwa ajili ya kutowa mkono wa pole kufuatia kifo cha Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 16-3-2024 na (kulia kwake) Makamu Mwenyekiti wa UWT. Zainab Shomari.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalum na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mhe.Mary Chatanda, baada ya kumaliza kutowa mkono wa pole kufuatia kifo cha Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi na (kulia kwake) Makamu Mwenyekiti wa UWT.Mhe.Zainab Shomari.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) ukiongozwa na Mwenyekiti Mhe.Mary Chatanda (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kutowa mkono wa pole kufuatia kifo cha Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi.(Picha na Ikulu)