Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Sokoine vilivyopo Mugumu, Mkoani Mara, Februari 27, 2024. Mheshimiwa Majaliwa yupo Mkoani Mara kwa ziara ya Kikazi ya Siku tano. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Na Mwandishi wetu, Simanjiro MKUU wa Mkoa wa Manyara, Queen Cuthbert Sendiga, amesema Mkoa huo umenufaika kwa miradi mbalimbali ya maendeleo ya kiasi cha…
Na Mwandishi Wetu Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, amewashauri Waandishi wa Habari nchini kuipa…