Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, leo Februari 7,2024 Jijini Dodoma amezindua rasmi kampeni ya upandaji miti katika maeneo yanayomilikiwa na Jeshi la Polisi. Uzinduzi huo umefanyika katika kambi ya Polisi Nzuguni na baadaye viwanja vya Polisi eneo la Madenge Hill.
Kampeni hii ya upandaji miti itaendelezwa katika maeneo yote yanayomilikiwa na Jeshi la Polisi nchini. Picha na Jeshi la Polisi