Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Dkt. Eliezer Feleshi, Bungeni jijini Dodoma, Januari 30, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge jimbo la Msimbo Mheshimiwa Anna Lupembe, Bungeni jijini Dodoma, Januari 30, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge jimbo la Kilwa Kaskazini Mheshimiwa Fransis Ndulane, Bungeni jijini Dodoma, Januari 30, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo, Bungeni jijini Dodoma, Januari 30, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).