Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Mheshimiwa Stanslaus Mabula akizungumza mara baada ya kamati hiyo kutembelea na kukagua mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Afya cha Kinondoni Jijini Dar es Salaam. Kamati imefanya ziara hiyo tarehe 27 Januari, 2024.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Mheshimiwa Stanslaus Mabula akizungumza mara baada ya kamati hiyo kutembelea Ofisi za Halmashauri hiyo kabla ya kwenda kukagua miradi kukagua mradi wa Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Ubungo na Kituo cha Afya cha Makuburi Jijini Dar es Salaam, kulia ni Naibu Waziri ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mheshimiwa Festo Ndugane na kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Rehema Madenge Kamati imefanya ziara hiyo tarehe 27 Januari, 2024.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Mheshimiwa Stanslaus Mabula akizungumza wakati ya kamati hiyo ilipotembelea na kukagua mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Afya cha Ubungo Jijini Dar es Salaam. Kamati imefanya ziara hiyo tarehe 27 Januari, 2024, kulia ni ni Naibu Waziri ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mheshimiwa Festo Ndugane.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Mheshimiwa Stanslaus Mabula akiwa na baadhi ya wajumbe wa Kamati hiyo wakikagua eneo la kuteketeza uchafu wakati Kamati ilipotembelea na kukagua mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Afya cha Kinondoni Jijini Dar es Salaam. Kamati imefanya ziara hiyo tarehe 27 Januari, 2024.