RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi wa Serikali na Wanamichezo mbalimbali katika Tamasha la matembezi na mazoezi ya viungo, matembezi hayo yaliyoazia katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani na kumalizika katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar Jijini Zanzibar kwa mazoezi ya pamoja ya viungo, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni Michezo Zanzibar.Mhe Tabia Maulid Mwita na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa ZABESA Ndg. Said Suleiman, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiwasalimia Wananchi wakati wakipita katika mitaa ya barabara ya muembemimba, wakiwa katika Tamasha maalum la matembezi na mazoezi ya viungo, lililoazia katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani na kumalizikia katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja kwa mazoezi ya pamoja ya viungo.(Picha na Ikulu)
MWANANCHI wa mtaa wa mikunguni Unguja akiwa amembeba mtoto wake wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi , akiongoza Wanamichezo katika Tamasha la Kitaifa la matembezi na mazoezi ya viungo, lililoazia katika viwanja vya Michezani Square Wilaya ya Mjini Unguja na kumalizikia katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar, kwa mazoezi ya pamoja ya viungo.(Picha na Ikulu)
WANANCHI wa mitaa ya Amani Unguja wakimsalimia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi wakati akiongoza matembezi ya Tamasha la Kitaifa la mazoezi ya Viungo, lililoazia katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Wilaya ya Mjini Unguja na kumalizikia katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar kwa mazoezi ya pamoja ya viungo yaliyofanyika leo 1-1-2024.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongoza Wanamichezo katika Tamasha la Kitaifa la mazoezi ya Viungo Zanzibar, lililoazia katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Wilaya ya Mjini Unguja na kumalizikia katika uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar kwa mazoezi ya pamoja ya viungo yaliyofanyika leo 1-1-2024 ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, na (kulia kwa Rais).Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Muhamed Mussa na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa ZABESA Ndg. Said Suleiman na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla.(Picha na Ikulu)
