Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Sera Uratibu na Barza la Wawakilishi Hamz Hassan Juma kulia akikunjuwa Kitambaa kuashiria Uzinduzi wa Barabara ya Dunga -Zuze (1.85KM) Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Sera Uratibu na Barza la Wawakilishi Hamz Hassan Juma akikata Utepe kuashiria Uzinduzi wa Barabara ya Dunga -Zuze (1.85KM)Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Barabara ya Dunga Zuze (1.85KM)Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja iliozinduliwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Sera Uratibu na Barza la Wawakilishi Hamz Hassan Juma katika Shamra shamra za miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar.