Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua Gwaride la heshima katika Hafla ya kufunga Mfunzo ya Uongozi wa Juu na Daraja la Pili kwa Askari wa Jeshi la Magereza kwenye Chuo cha Maofisa wa Magereza Ukonga jijini Dar es salaam
Waziri Mkuu, Kassim akipokea heshima ya gwaride la wahitimu wa Mfunzo ya Uongozi wa Juu na Daraja la Pili kwa Askari wa Jeshi la Magereza kwenye Chuo cha Maofisa wa Magereza Ukonga jijini Dar es salaam
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamadi Masauni (wa pili kulia), Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Kaspar Mmuya (kulia) na Kamishina Generali wa Jeshi la Magereza nchini, Mzee Ramadhani Nyamka, alipowasili kwenye Chuo cha Maofisa wa Magereza, Ukonga jijini Dar es salaam kufunga Mafunzo ya Uongozi wa Juu na Daraja la Pili kwa Askari wa Jeshi la Magereza
Waziri Mkuu, KASSIM MAJALIWA akimvisha Cheo cha Mrakibu Msaidizi wa Jeshi la Magereza, Charles Nyoni wakati alipofungua Mafunzo ya Uongozi wa Juu na Daraja la Pili kwa Askari wa Jeshi la Magereza kwenye Chuo cha Maofisa wa Magereza Ukonga jijini Dar es salaam
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi cheti cha kufanya vizuri zaidi darasanı katika Mafunzo ya Uongozi Daraja la Pili, Ruth Fungameza kabla ya kufunga Mafunzo ya Uongozi wa Juu na Daraja la Pili kwa Askari wa Jeshi la Magereza kwenye Chuo cha Maofisa wa Magereza Ukonga jijini Dar es salaam.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimvisha Cheo cha Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Magereza, Amina Athumani Sumayi wakati alipofunga Mfunzo ya Uongozi wa Juu na Daraja la Pili kwa Askari wa Jeshi la Magereza kwenye Chuo cha Maofisa wa Magereza Ukonga jijini Dar es salaam.
Waziri Mkuu, KASSIM MAJALIWA akimvisha Cheo cha Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Magereza , Martin Mwakyoma wakati alipofunga Mfunzo ya Uongozi wa Juu na Daraja la Pili kwa Askari wa Jeshi la Magereza kwenye Chuo cha Maofisa wa Magereza, Ukonga jijini Dar es salaam, Disemba 15, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)