Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akimsikiliza Balozi Mpya  wa Saudi Arabia Nchini Tanzania Mhe.Yahya Ahmed Okeish, alipofika kujitambulisha leo Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 08/12/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na mgeni wake  Balozi  wa Saudi Arabia Nchini Tanzania Mhe.Yahya Ahmed Okeish, alipofika kujitambulisha leo Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 08/12/2023.
 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akipokea zawadi kutoka kwa  mgeni wake  Balozi  wa Saudi Arabia Nchini Tanzania Mhe.Yahya Ahmed Okeish, alipofika kujitambulisha leo Ikulu Jijini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 08/12/2023.
 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akifuatana na  mgeni wake  Balozi  wa Saudi Arabia Nchini Tanzania Mhe.Yahya Ahmed Okeish, alipofika kujitambulisha leo Ikulu Jijini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 08/12/2023.
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Madaktari Ishirini na Moja kutoka Nchini Saudi Arabia,waliofika Kisiwani Pemba katika Jimbo la Gando kutoa huduma mbali mbali za kiafya kwa Wananchi,walifika Ikulu Jijini Zanzibar leo kumsalimia Mhe.Rais wakiwa na  Balozi  wa Saudi Arabia Nchini Tanzania Mhe.Yahya Ahmed Okeish, (wa pili kulia).[Picha na Ikulu] 08/12/2023.
 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Madaktari Ishirini na Moja kutoka Nchini Saudi Arabia,waliofika Kisiwani Pemba katika Jimbo la Gando kutoa huduma mbali mbali za kiafya kwa Wananchi,walifika Ikulu Jijini Zanzibar leo kumsalimia Mhe.Rais wakiambatana na  Balozi  wa Saudi Arabia Nchini Tanzania Mhe.Yahya Ahmed Okeish pamoja na Mbunge Jimbo la Gando Mhe.Salim Mussa Omar , (wa pili kulia).[Picha na Ikulu] 08/12/2023.