Waziri Mkuu, KASSIM MAJALIWA akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye baada ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuzungumza na wananchi kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Katesh wilayani Hanang Disemba 7, 2023. Mheshimiwa Rais alikwenda Katesh kuwapa pole wananchi kufuatia mafuriko yliyoukumba mji mdogo wa Katesh na kijiji cha Gendabi, pia kujionea athali zilizosababishwa na mafuriko hayo. (Picha na Ofisi ya Waziri MKkuu)
MAJALIWA ASALIMIANA NA SUMYE KATESH
By John Bukuku
December 8, 2023 | 11:44 am

Related Stories
View all
Mchanganyiko
50 minutes ago
UMMY MWALIMU MSHAURI WA RAIS MASUALA YA AFYA YA UZAZI MAMA NA MTOTO
Mchanganyiko
1 hour ago
MIFUMO YA KIDIJITALI YAONGEZA UKUSANYAJI NA USIMAMIZI WA MAPATO YA SERIKALI
Na Bupe Mwaiseje- MAELEZO Serikali imeendelea kuimarisha usimamizi wa mapato na matumizi ya fedha za umma kupitia uwekezaji mkubwa katika mifumo ya kidijitali, hatua…