Katibu Mkuu wa UWT Ndugu Jokate Mwegelo ameshiriki Misa Takatifu ya Kristu Mflme Parokia ya Igunga, Mkoani Tabora akiwa na Mwadhama Protace Kadinali Rugambwa, Tarehe 26 Novemba, 2023.
Katibu Mkuu wa UWT Ndugu Jokate Mwegelo* akiwa katika picha ya Pamoja na Mwadhama Protace Kadinali Rugambwa wakati wa Misa Takatifu ya Kristu Mflme Parokia ya Igunga, Mkoani Tabora akiwa na Mwadhama Protace Kadinali Rugambwa, Tarehe 26 Novemba, 2023.