Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam  Sheikh Walid Alhad Omar na Padri Andrew Mtweve  wa CCT  katika picha na wadau baada ya kuongoza  dua na sala kuwaombea na kuwarehemu ndugu jamaa na marafiki  wa Club za  Michezo za zilizokuwa zikendesha Sunday Soccer Bonanza za Tazara, Singasinga, Sigara , Checkpoint, Mango Garden na Maasai Club ambao wametangulia mbele ya haki katika Viwanja via Leaders Club Jijini Dar es Salaam  jana  Jumamosi.

Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam  Sheikh Walid Alhad Omar na wadau wakimsikiliza Padri Andrew  Mtweve  wa CCT akiongoza  sala kuwaombea na kuwarehemu ndugu jamaa na marafiki  wa Club za  Michezo za zilizokuwa zikendesha Sunday Soccer Bonanza za Tazara, Singasinga, Sigara , Checkpoint, Mango Garden na Maasai Club ambao wametangulia mbele ya haki katika Viwanja via Leaders Club Jijini Dar es Salaam jana  Jumamosi

 Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam  Sheikh Walid Alhad Omar na Padri Andrew Mtweve  wa  CCT wakioineshwa  picha na majina ya marehemu wakati wa dua na sala kuwaombea na kuwarehemu ndugu jamaa na marafiki  wa Club za  Michezo za zilizokuwwa zikendesha Sunday Soccer Bonanza za Tazara, Singasinga, Sigara , Checkpoint, Mango Garden na Maasai Club ambao wametangulia mbele ya haki katika Viwanja via Leaders Club Jijini Dar es Salaam Leo Jumamosi kuanzia saa tano asubuhi.