Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Idrissa Kitwana Mustafa wakati alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Zanzibar Novemba 25, 2026 ambako kesho anatarajiwa kumwakilisha Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi katika Mbio za Hisani za Kukomesha Ukatili wa Kijinsia ( ‘Stop GBV Marathon) zitakazofanyika Mji Mkongwe Zanzibar. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)