Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Ukaguzi kutoka Wizara ya Ujenzi wakikagua ukarabati na ujenzi wa Vivuko mbalimbali unaofanywa na mkandarasi kampuni ya MS Songoro, jijini Mwanza.
Wajumbe wa Kamati ya Ukaguzi kutoka Wizara ya Ujenzi wakikagua na kutembelea utekelezaji wa ujenzi wa nyumba za watumishi wa umma katika eneo Ghana kwa lengo la kuwajengea uwezo, jijini Mwanza.
Kaimu Meneja wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Mkoa wa Mwanza, Eng. Moses Urio, akitoa taarifa ya utekelezaji wa mradi wa Nyumba za Watumishi wa Umma katika eneo la Ghana kwa wajumbe wa Kamati ya Ukaguzi kutoka Wizara ya Ujenzi, wakati walipotembelea kwa lengo la kuwajengea uwezo, Jijini Mwanza.