Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Daniel Godfrey Chongolo akizungumza jambo na Waziri wa Ujenzi, Mhe. Innocent Bashungwa pamoja na Waziri wa Fedha Mhe. Mwigulu Nchemba kabla ya ufunguzi wa Mkutano wa Mashauriano kati ya Serikali na Makandarasi Wazawa, Washauri Waelekezi pamoja na wadau mbalimbali wa sekta ya ujenzi wa kujadili nafasi yao katika utekelezaji wa miradi na masuala yanayohusu sekta hiyo, uliofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre, leo Jumanne Novemba 21, 2023 jijini Dodoma.
MAKOMREDI WAKITETA JAMBO
By John Bukuku
November 21, 2023 | 4:20 pm

Related Stories
View all
Siasa
18 hours ago
RAIS SAMIA: ZIARA YA RAIS WA SINGAPORE NI HISTORIA MPYA YA USHIRIKIANO
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema ziara ya Rais wa Singapore, Mheshimiwa…
Siasa
19 hours ago
RAIS DKT. SAMIA AMPOKEA RAIS WA SINGAPORE IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Singapore, Mheshimiwa Tharman Shanmugaratnam mara baada…