Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Septemba 17, 2023 amewasili Ruangwa kwa ziara ya kikazi wilayani humo. Rais Dkt. Samia amepokelewa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ruangwa na viongozi wa Serikali na Chama Tawala wilayani humo. Hassan leo Septemba 17, 2023