Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati)akiongoza matembezi na mbio fupi yaliyofanyika Leo kuanzia Kiembesamaki kwa Butlos mpaka viwanja vya Maisara Zanzibar, yalioyoandaliwa na Shirika la Amref Tanzania yenye lengo la kuchangia vifaa tiba kwa uzazi salama (kulia) Mkurugenzi Mkaazi Amref Health Africa-Tanzania Dr.Florence Temu,Naibu Waziri wa Afya Mhe.Hassan Khamis Hafidh(kushoto) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla, Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa na Mke wa Rais Mama Mariam Mwinyi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati)akiongoza matembezi na mbio fupi kwa hatua ya umaliziaji wa matembezi hayo yaliyoishia katika viwanja vya Maisara Mkoa wa Mjini Magharibi leo yalioyoandaliwa na Shirika la Amref Tanzania yenye lengo la kuchangia vifaa tiba kwa uzazi salama .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akivalishwa nishani na Mkurugenzi Mkaazi Amref Health Africa-Tanzania Dr.Florence Temu,mara baada ya kumalizika kwa matembezi na mbio fupi yaliyoanzia Kiembesamaki kwa Butlos mpaka viwanja vya Maisara Zanzibar, ambayo yameandaliwa na Shirika la Amref Tanzania yenye lengo la kuchangia vifaa tiba kwa uzazi salama .
Mke wa Rais Mama Mariam Mwinyi (kulia) akiwa ni mshiriki wa matembezi na mbio fupi yaliyoanzia Kiembesamaki kwa Butlos mpaka viwanja vya Maisara Suleiman Mkoa wa Mjini Magharibi, akivalishwa nishani na Mkurugenzi Mkaazi Amref Health Africa-Tanzania Dr.Florence Temu,mara baada ya kumalizika kwa matembezi hayo , ambayo yameandaliwa na Shirika la Amref Tanzania yenye lengo la kuchangia vifaa tiba kwa uzazi salama .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) na Mkewe Mama Mariam Mwinyi pamoja na Mkurugenzi Mkazi wa Amref Health Africa-Tanzania Dr.Florence Temu wakimsikiliza Meneja Vipindi wa kampuni ya Pharm Access Ndg.Faiza Bwanakheri Abbas walipotembelea mabanda ya maonesho mara baada ya kumalizika kwa matembezi na mbio fupi yaliyoanzia Kiembesamaki kwa Butlos mpaka viwanja vya Maisara Zanzibar, ambayo yameandaliwa na Shirika la Amref Tanzania yenye lengo la kuchangia vifaa tiba kwa uzazi salama .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (wa pili kushoto) pamoja na Mkurugenzi Mkazi wa Amref Health Africa-Tanzania Dr.Florence Temu (wa nne kulia) pamoja na viongozi wengine wakisimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa katika hafla ya kampeni ya kuchangia vifaa tiba kwa uzazi salama sambamba na matembezi na mbio fupi yaliyoanzia Kiembesamaki kwa Butlos mpaka viwanja vya Maisara Suleiman Mkoa Mjini Magharibi, ambayo yameandaliwa na Shirika la Amref Health Africa-Tanzania .
Mkurugenzi Mtendaji wa Absa Bank Tanzania Bw.Obedi Laiser akiwa ni mdhamini Mkuu, alipokuwa akitoa salam fupi wakati wa hafla ya kampeni ya kuchangia vifaa tiba kwa uzazi salama sambamba na matembezi na mbio fupi yaliyoanzia Kiembesamaki kwa Butlos mpaka viwanja vya Maisara Suleiman Mkoa Mjini Magharibi leo, ambayo yameandaliwa na Shirika la Amref Health Africa-Tanzania .
Mkurugenzi Mkaazi Amref Health Africa-Tanzania Dr.Florence Temu,alipokuwa akielezea malengo ya Matembezi wakati wa hafla ya kampeni ya kuchangia vifaa tiba kwa uzazi salama sambamba na matembezi na mbio fupi yaliyoanzia Kiembesamaki kwa Butlos mpaka viwanja vya Maisara Suleiman Mkoa Mjini Magharibi leo, ambayo yameandaliwa na Shirika la Amref Health Africa-Tanzania mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake katika hafla ya kampeni ya kuchangia vifaa tiba kwa uzazi salama sambamba na matembezi na mbio fupi yaliyoanzia Kiembesamaki kwa Butlos mpaka viwanja vya Maisara Suleiman Mkoa Mjini Magharibi leo, ambayo yameandaliwa na Shirika la Amref Health Africa-Tanzania(kulia) Naibu Waziri wa Afya Mhe.Hassan Khamis Hafidh,Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Maghjaribi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake katika hafla ya kampeni ya kuchangia vifaa tiba kwa uzazi salama sambamba na matembezi na mbio fupi yaliyoanzia Kiembesamaki kwa Butlos mpaka viwanja vya Maisara Suleiman Mkoa Mjini Magharibi leo, ambayo yameandaliwa na Shirika la Amref Health Africa-Tanzania.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkaazi Amref Health Africa-Tanzania Dr.Florence Temu,katika hafla ya kampeni ya kuchangia vifaa tiba kwa uzazi salama sambamba na matembezi na mbio fupi yaliyoanzia Kiembesamaki kwa Butlos mpaka viwanja vya Maisara Suleiman Mkoa Mjini Magharibi leo, ambayo yameandaliwa na Shirika la Amref Health Africa-Tanzania.(kushoto Mke wa Rais Mama Mariam Mwinyi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akishuhudia zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkaazi Amref Health Africa-Tanzania Dr.Florence Temu,inayokabidhi kwa Mke wa Rais Mama Mariam Mwinyi katika hafla ya kampeni ya kuchangia vifaa tiba kwa uzazi salama sambamba na matembezi na mbio fupi yaliyoanzia Kiembesamaki kwa Butlos mpaka viwanja vya Maisara Suleiman Mkoa Mjini Magharibi leo, ambayo yameandaliwa na Shirika la Amref Health Africa-Tanzania.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akipokea vifaa mbali mbali vya tiba baada ya kuzindua gari maalum (mobilevan) kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Amref Health Africa-Tanzania Dr.Grtalu Githinyi (kulia),katika hafla ya kampeni ya kuchangia vifaa tiba kwa uzazi salama sambamba na matembezi na mbio fupi yaliyoanzia Kiembesamaki kwa Butlos mpaka viwanja vya Maisara Suleiman Mkoa Mjini Magharibi leo, ambayo yameandaliwa na Shirika la Amref Health Africa-Tanzania.(kushoto Mke wa Rais Mama Mariam Mwinyi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipokua akiagana na Mkurugenzi Mkaazi Amref Health Africa-Tanzania Dr.Florence Temu, baada ya kumalizika kwa hafla ya kampeni ya kuchangia vifaa tiba kwa uzazi salama sambamba na matembezi na mbio fupi yaliyoanzia Kiembesamaki kwa Butlos mpaka viwanja vya Maisara Suleiman Mkoa Mjini Magharibi leo, ambayo yameandaliwa na Shirika la Amref Health Africa-Tanzania.(kulia)Mkurugenzi Mkuu wa Amref Health Africa-Tanzania Dr.Grtalu Githinyi .[Picha na Ikulu