Mwezeshaji kutoka kampuni ya VERTEX Charles Nduku akiwafundisha wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) jinsi ya kutoa huduma bora kwa wateja wanaowahudumia wakati wa mafunzo hayo yaliyotolewa kwa wafanyakazi wa kada mbalimbali leo katika ukumbi wa JKCI uliopo jijini Dar es Salaam.
Mfanyakazi wa mapokezi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Safina Tibanyendera akichangia mada wakati wa mafunzo ya jinsi ya kutoa huduma bora kwa wateja yaliyofanyika kwa wafanyakazi wa kada mbalimbali wa taasisi hiyo leo katika ukumbi wa JKCI uliopo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya jinsi ya kutoa huduma bora kwa wateja wakifuatilia mada zilizokuwa zikiendelea kwenye mafunzo hayo leo katika ukumbi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) iliyopo jijini Dar es Salaam.
Picha na: JKCI