Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Uturuki, Seif Idd Bakari Ofisi kwake Oysterbay jijini Dar es Salaam. Julai 05, 2023 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Tanzania Nchini Uturuki, Seif Idd Bakari, wakati alipozungumza naye, Ofisi kwake Oysterbay jijini Dar es Salaam. Julai 05, 2023 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu