Muonekano wa hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa Mji wa Serikali katika eneo la Mtumba jijini Dodoma. Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa amekagua ujenzi huo Julai 3, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)