Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt Jakaya Kikwete amewasili mkoani Ruvuma kwa ajili ya kushiriki ufunguzi wa msikiti mpya wa Taqwa Uliopo kijiji cha Mtakanini Wilayani Namtumbo ,ufunguzi wa msikiti huo unatarajia kufanyika Juni 24,2023.
Rais Mstaafu kikwete amepokewa katika uwanja wa ndege wa Songea na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas Pichani kushoto