Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Naibu Spika na Mbunge wa Ilala, Mussa Azan Zungu, kwenye jingo la Utawala, Bungeni jijini Dodoma,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akifurahia jambo Bungeni jijini Dodoma, Juni 15, 2023. Kulia juu ni Mbunge wa Viti Maalum, Aisharose Matembe na kulia juu ni Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Godfrey Kasekenya.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma, Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora) George Simbachawene, Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Hawa Mwaifunga Bungeni jijini Dodoma, Juni 15, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)