Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiongoza matembezi ya kilomita 5 ya kuadhimisha Siku ya Usalama wa Chakula Duniani yaliyoanzia Mombasa hadi Mapinduzi Square (Kisonge) Jijini Zanzibar
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (katikati) akiongoza matembezi ya kilomita 5 ya kuadhimisha Siku ya Usalama wa Chakula Duniani yaliyoanzia Mombasa hadi Mapinduzi Square (Kisonge) Jijini Zanzibar
Wanamazoezi wakiwa katika matembezi ya Maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani yaliyoanzia Mombasa hadi Mapinduzi Square (Kisonge) Jijini Zanzibar leomgeni rasmi alikuwa Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi .
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (katikati) pamoja na Viongozi wengine na wanamichezo wakinyoosha viungo baada ya matembezi ya kilomita 5 ya kuadhimisha Siku ya Usalama wa Chakula Duniani yaliyoanzia Mombasa hadi Mapinduzi Square (Kisonge) Jijini Zanzibar
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akitoa hutuba yake baada ya matembezi ya kilomita 5 ya kuadhimisha Siku ya Usalama wa Chakula Duniani yaliyoanzia Mombasa hadi Mapinduzi Square (Kisonge) Jijini Zanzibar ambapo vikundi vya mazoezi vimeshiriki matembezi hayo yaliyofanyika