Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Uongozi wa Menejimenti ya Kumbukumbu na Nyaraka Tanzania (TRAMPA) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kusalimia (wa pili kulia) Mwenyekiti wa Chama cha Menejimenti ya Watunza Kumbukumbu na Nyaraka (TRAMPA) Devotha Mrope George (kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) wakati alipokabidhiwa zawadi iliyoandaliwa na Uongozi wa Chama cha Menejimenti ya Kumbukumbu na Nyaraka Tanzania (TRAMPA) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kusalimia (katikati) Mwenyekiti wa Chama cha Menejimenti ya Watunza Kumbukumbu na Nyaraka (TRAMPA) Devotha Mrope George (kushoto) Makamu Mwenyekiti Ndg.Ramadhan Kius .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Uongozi wa Menejimenti ya Kumbukumbu na Nyaraka Tanzania (TRAMPA) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kusalimia ujumbe huo utter uliongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha Menejimenti ya Watunza Kumbukumbu na Nyaraka (TRAMPA) Devotha Mrope George .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea zawadi maalum kutoka kwa. Mwenyekiti wa Chama cha Menejimenti ya Watunza Kumbukumbu na Nyaraka (TRAMPA) Bi.Devotha Mrope George wakati Upngozi wa Chama hicho walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kusalimia.(Picha na Ikulu