Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharibi Mhe.Mohamed Rajab mara alipowasili katika Mkutano wa Mabalozi na Halmashauri Kuu za CCM Majimbo ,Wilaya na Mkoa Mkoa wa Magharibi Kichama katika ukumbi wa Piccadiliy Kombeni leo.[Picha na Ikulu] 06/05/2023.
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wakuu wa Wilaya za Magharibi “B” na “A” pamoja na Viongozi wengine wa Chama cha CCM Mkoa wa Magharibi Leo alipowasili katika ukumbi wa Piccadiliy Kombeni katika Mkutano wa Mabalozi na Halmashauri Kuu za CCM Majimbo ,Wilaya na Mkoa wa Magharibi Kichama [Picha na Ikulu] 06/05/2023.
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiteta na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharibi Mhe.Mohamed Rajab katika Mkutano wa Mabalozi na Halmashauri Kuu za CCM Majimbo ,Wilaya na Mkoa wa Magharibi Kichama katika ukumbi wa Piccadiliy Kombeni leo.[Picha na Ikulu] 06/05/2023.
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa (katikati)Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharibi Mhe.Mohamed Rajab (kushoto) na Mjumbe wa Halamashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Mohamed Aboud Mohamed (kulia) wakati wimbo wa Chama Ukiimbwa katika ufunguzi wa Mkutano wa Mabalozi na Halmashauri Kuu za CCM Majimbo ,Wilaya na Mkoa wa Magharibi Kichama katika ukumbi wa Piccadiliy Kombeni leo.[Picha na Ikulu] 06/05/2023.
Viongozi wa mbali mbali wa Chama cha Mapinduzi CCM katika Mkoa wa Magharibi wakiimba wimbo wa Chama Ukiimbwa katika ufunguzi wa Mkutano wa Mabalozi na Halmashauri Kuu za CCM Majimbo ,Wilaya na Mkoa wa Magharibi Kichama katika ukumbi wa Piccadiliy Kombeni leo mgeni rasmi alikuwa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani).[Picha na Ikulu] 06/05/2023.
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa wakati wa Mkutano wa Mabalozi na Halmashauri Kuu za CCM Majimbo ,Wilaya na Mkoa wa Magharibi Kichama katika ukumbi wa Piccadiliy Kombeni leo.[Picha na Ikulu] 06/05/2023.
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa wakati wa Mkutano wa Mabalozi na Halmashauri Kuu za CCM Majimbo ,Wilaya na Mkoa wa Magharibi Kichama katika ukumbi wa Piccadiliy Kombeni leo.[Picha na Ikulu] 06/05/2023.