Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt. Switbert Mkama (katikati mbele) akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe kutoka Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) na watendaji wa Mradi wa Kurejesha Ardhi iliyoharibika na Kuongeza Usalama wa Chakula (LDFS) waliofika katika Ofisi ya Makamu wa Rais, Mtumba jijini Dodoma kwa ajili ya kujitambulisha kabla ya kufanya ukaguzi na kutembelea utekelezaji wa shughuli za miradi katika Halmashauri za Wilaya ya Nzega (Tabora) na Magu (Mwanza).
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt. Switbert Mkama akibadilishana mawazo na Ujumbe kutoka Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) na watendaji wa Mradi wa Kurejesha Ardhi iliyoharibika na Kuongeza Usalama wa Chakula (LDFS) waliofika katika Ofisi ya Makamu wa Rais, Mtumba jijini Dodoma kwa ajili ya kujitambulisha kabla ya kufanya ukaguzi na kutembelea utekelezaji wa shughuli za miradi katika Halmashauri za Wilaya ya Nzega (Tabora) na Magu (Mwanza). Kulia ni Mratibu wa Kitaifa wa Mradi wa LDFS Bw. Joseph Kihaule.
(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)