RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika hafla ya kugawa Sadaka ya Vyakula kwa Wananchi wa Makundi Maalum wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,iliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Watoto wenye ulemavu wa ngozi akiwa amembeba Mtoto Atra Suleiman, baada ya kumalizika kwa hafla ya kukabidhi sadaka ya vyakula kwa Wananchi wa Makundi Maalum wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, iliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisinge Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimchukua Mtoto Atra Suleiman,wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa vyakula kwa Wananchi wa Makundi Maalum wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, iliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Msaada wa chakula Bw.Ali Abeid kwa ajili ya futari hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 14-4-2023 na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Jumuiya ya ZIDO.Bi.Rehana Mirali ,msaada huo wa futari uliotolewa kwa ajili ya Wananchi wa Makundi Maalum wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi msaada wa vyakula yakiwemo mafuta ya kupikia.Bi. Jamila Borafya, wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa vyakula kwa Wananchi wa Makundi Maalum wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, iliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 14-4-2023, na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Jumuiya ya ZIDO Bi. Rehana Mirali.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi msaada wa chakula yakiwemo mafuta ya kupikia Mtoto Husna Daud, wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa vyakula kwa Wananchi wa Makundi Maalum wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, iliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibarb
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi msaada wa chakula yakiwemo mafuta ya kupikia Bw.Mussa Malik Kessy, wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa vyakula kwa Wananchi wa Makundi Maalum,wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,iliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibarb
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwakabidhi miwani Watoto Maliha Mohammed Juma na Maitham Mohammed Juma miwani maalum kwa ajili ya Watu wenye ulemavu wa ngozi, wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa Vyakula kwa Wananchi wa Makundi Maalum wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, iliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi msaada wa vyakula yakiwemo mafuta ya kupikia Bi.Sahila Juma Yahya,wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa vyakula kwa Wananchi wa Makundi Maalum, wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, iliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibarb
BAADHI ya Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wa Makundi Maalum wakimsikiliza Rais wa Zanzibar wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi baada ya kuwakabidhi msaada wa vyakula kwa ajili ya futari, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akifurahia jambo wakati Bi. Jamila Borafya akitowa neno la shukrani kwa niaba ya Wananchi wa Makundi Maalum wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, wakati wa hafla ya ugawaji wa Sadaka kwa Wananchi hao iliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 14-4-2023 na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Jumuiya ya ZIDO Bi. Rehana Mirali.(Picha na Ikulu)