Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena Tax akisalimiana na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Joaquim Chisano walipokutana jijini Dar es Salam kwa mazungumzo. Mhe Chisano yuko nchini kwa mwaliko wa kushiriki utoaji wa Tuzo za Taifa za Uandishi Bunifu za Mwl. Nyerere uliyofanyika tarehe 13 Aprili, 2023. | Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Joaquim Chisano akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena Tax aliyefika kumsalimia. Mhe Chisano yuko nchini kwa mwaliko wa kushiriki utoaji wa Tuzo za Taifa za Uandishi Bunifu za Mwl. Nyerere uliyofanyika tarehe 13 Aprili, 2023. |
|
|
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena Tax akimsikiliza Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Joaquim Chisano walipokutana jijini Dar es Salam kwa mazungumzo. Mhe Chisano yuko nchini kwa mwaliko wa kushiriki utoaji wa Tuzo za Taifa za Uandishi Bunifu za Mwl. Nyerere uliyofanyika tarehe 13 Aprili, 2023. |
|
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena Tax akimsikiliza Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Joaquim Chisano walipokutana jijini Dar es Salam kwa mazungumzo. Mhe Chisano yuko nchini kwa mwaliko wa kushiriki utoaji wa Tuzo za Taifa za Uandishi Bunifu za Mwl. Nyerere uliyofanyika tarehe 13 Aprili, 2023. |
|
mazungumzo yakiendelea |
|
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena Tax katika picha na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Joaquim Chisano walipokutana jijini Dar es Salam kwa mazungumzo. |
|
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena Tax akiagana na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Joaquim Chisano alipomtembelea jijini Dar es Salam kwa mazungumzo. |
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena Tax amekutana na kuzungumza na Rais Mstaafu wa Msumbiji Mhe. Joaquim Chisano jijini Dar es Salam.
Mhe.Dkt. amemshukuru Mhe. Chisano kwa kukubali mwaliko wa kuja kushiriki utoaji wa Tuzo za Taifa za Uandishi Bunifu za Mwl. Nyerere zilizofanyika jijini Dar es Salaam tarehe 13 Aprili, 2023.
“Mhe. Chisano naomba nichukue nafasi hii kukushukuru kwa kitendo cha kukubali kuja nchini na kuwa mgeni rasmi katika utoaji wa tuzo uliofanyika jana, tunakushukuru sana na karibu tena Tanzania,” alisema Dkt Tax.
Amesema kitendo hicho kinaonesha uhusiano wa kidugu na wa kihistoria uliopo kati ya Tanzania na Msumbiji na pia kunaongeza jitihada za kuitangaza lugha ya Kiswahili katika bara la Afrika na Duniani kwa ujumla