Aprili ya Kishua unaambiwaje jisajili Meridianbet upate mizunguko 50 ya bure kucheza sloti ya kasino ya mtandaoni. Kujisajili bonyeza hapa: https://a.meridianbet.co.tz/c/K0aPCC
Furahia sloti mpya kutoka Kasino ya Mtandaoni ikielezea Roma ya Kale! Cheza kipekee katika sloti ya Meridianbet Veni Vidi Vici!
Mambo ya kale yafuza na kushangaza pia, bila shaka ulishawahi kuisoma historia ya Warumi/Roman kuna mwamba mmoja anaitwa Julius Caesar alikua ni moja ya viongozi wenye nguvu kubwa sana kisiasa na kijeshi. Ili kukurudisha nyuma huku ukipiga hela Meridianbet pamoja na Expanse Studios inakuletea sloti yenye kuelezea mambo ya Roman Empire ni Vedi Vidi Vici.
Ushawishi wa hadithi za Kirumi pia unatambuliwa kwa jina la sloti, lakini mcehzo huu una kitu gani kipya?
Sloti ya Veni Vidi Vici ina Kolamu ambayo inakupa taji la mvinyo, ngao na upanga, mikokoteni, askari wachache, wakati alama ya msingi ya mchezo ni Caesar mwenyewe.
Kadi mbili za porini (Wild) zinakuongoza kwenye mzunguko wa bonasi kutoka Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, wakati kadi tatu au zaidi za porini (Wild) zinaamsha Bonasi ya Sloti ya Veni Vidi Vidi.
Kuna msemo mmoja mkubwa wa Gaius Julius Caesar husema ’kete imetupwa’ na katika kasino ya mtandaoni mchezo wa Veni Vidi Vici, Caesar huzungusha kete! Aina hii ya bonasi inakuja katika ngazi tatu, na ya tatu inaweza kukuletea ushindi mpaka mara 1,000 zaidi!
Sloti hii ina bonasi ya ubashiri ambayo inaweza kuongeza kila ushindi mara mbili, pamoja na jackpots tatu zinazoendelea: Mini, Midi na Mega.
Sifa kuu ya sloti hii ni chaguo la BONUS NUNUA (Bonus Buy option), ambalo unaweza kuwezesha Bonasi ya Veni Vidi Vici, na RTP nzuri ya 96.28%!
Dhibiti Ufalme/ Kasri ya Roma na upate mafanikio makubwa!