Katibu wa Sekretarieti ya Kuzuia na Kupambana na Usafirishaji wa Binadamu, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Seperatus Fella, akizungumza na Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Uhamaji (IOM) nchini, Maurizio Busatti (kulia), kuhusu kuimarisha ushirikiano wa kimataifa wa kupambana na usafirishaji haramu wa binadamu katika kikao kilichofanyika jijini Dodoma, leo Aprili 5, 2023. Kushoto ni Afisa Mwandamizi wa Sekretaireti hiyo, Ahmad Mwen-dad.
Katibu wa Sekretarieti ya Kuzuia na Kupambana na Usafirishaji wa Binadamu, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Seperatus Fella (katikati), akimsikiliza Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Uhamaji (IOM) nchini, Maurizio Busatti (kulia), alipokuwa akizungumza kuhusu kuimarisha ushirikiano wa kimataifa wa kupambana na usafirishaji haramu wa binadamu katika kikao kilichofanyika jijini Dodoma, leo Aprili 5, 2023. Kushoto ni Afisa Mwandamizi wa Sekretaireti hiyo, Ahmad Mwen-dad.
Katibu wa Sekretarieti ya Kuzuia na Kupambana na Usafirishaji wa Binadamu, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Seperatus Fella (kushoto), akimshukuru Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Uhamaji (IOM) nchini, Maurizio Busatti (kulia), baada ya kumaliza mazungumzo yao kuhusu kuimarisha ushirikiano wa kimataifa wa kupambana na usafirishaji haramu wa binadamu katika kikao yaliyofanyika jijini Dodoma, leo Aprili 5, 2023.
Katibu wa Sekretarieti ya Kuzuia na Kupambana na Usafirishaji wa Binadamu, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Seperatus Fella (katikati), Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Uhamaji (IOM) nchini, Maurizio Busatti (wapili kulia), wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika jijini Dodoma, leo Aprili 5, 2023. Wapili kulia ni Afisa Mwandamizi wa Sekretaireti hiyo, Ahmad Mwen-dad, kulia ni Alexander Lupilya, Afisa Mwandamizi wa Sekretaireti hiyo, na kushoto ni Afisa Mradi na Mahusiano Msaidizi wa IOM, Winnie Mutungi. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.