Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe wakati alipozindua Jengo la Wagonjwa wa Dharura katika hospitali ya wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, Machi , 26, 2023. Kushoto ni Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange. (Picha naOfisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua Jengo la Wagonjwa wa Dharura katika hospitali ya wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, Machi , 26, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mganga Mkuu wa hospitali ya wilaya ya Maswa, Dkt James Bwire (kulia) kuhusu mashine ya X Ray inayohamishika baada ya kuzindua Jengo la Wagonjwa wa Dharura, Machi , 26, 2023. Kushoto ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi baada ya kuzindua Jengo la Wagonjwa wa Dharura katika hospitali ya wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, Machi , 26, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi wakati alipowasili kwenye hospitali ya wilaya ya Maswa kuzindua Jengo la Wagonjwa wa Dharura, Machi , 26, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)