RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamani la Matokeo ya Tafiti za UVIKO -19 zilizofanywa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kupitia ufadhili wa Marehemu Amne Salim, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Chpe Muhimbili Jijini Dar es Salam leo 21-3-2023.(Picha na Ikulu)
WANAFAMILIA ya Marehemu Amne Salim wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) akifungua Kongamano la Matokeo ya Tafiti za UVIKO-19, zilizofanywa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shiriki Muhimbili (MUHAS) kangamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Chpe Mihimbiji Jijini Dar es Salaam leo 21-3-2023.(Picha na Ikulu)
MTOTO wa Marehemu Amne Salim kizungumza wakati wa ufunguzi wa Kongamano la la Matokeo ya Tafiti za UVIKO-19, zilizofanywa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shiriki Muhimbili (MUHAS) kangamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Chpe Mihimbiji Jijini Dar es Salaam leo 21-3-2023.(Picha na Ikulu)
WASHIRIKI wa Kongamano la la Matokeo ya Tafiti za UVIKO-19 wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) akifungua Kongamano la Matokeo ya Tafiti za UVIKO-19, zilizofanywa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shiriki Muhimbili (MUHAS) kangamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Chpe Mihimbiji Jijini Dar es Salaam leo 21-3-2023.(Picha na Ikulu)