RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani. Linalofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Sheikh Idrissa Abdulwaki Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe.Tabia Maulid Mwita, Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Mstahiki Meya wa Jiji la Zanzibar.Mhe. Mahmoud Mohamed Mussa, alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa mkutano wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar kwa ajili ya ufunguzi wa Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani,
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea maonesho ya Vitabu na machapisho mbalimbali, wakati akitembelea maonesho na kupata maelezo ya vitabu kutoka kwa Afisa wa Baraza la Kiswahili Zanzibar Bw. Hassan Khamis,kabla ya kulifungua Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani,(kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Mustafa Kitwana na (kulia kwa Rais) Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe. Tabia Maulid Mwita na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea maoneshi ya Vitabu na Machapisho mbalimbali ya Kiswahili, wakati akitembelea maonesho hayo yaliyofanyika katika viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa Sheikh.Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja, kabla ya kulifungua Kongamano la Idhaa za Kiswahilin Duniani na kupata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Mtalimbo Books, Bw. Mwamwingila G. na (kulia kwa Rais) Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe.Tabia Maulid Mwita na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi ya Kitabu na Mwakilishi wa Kampuni ya Mkuki na Nyota Bi. Lilian Christian, wakati akitembelea maonesho ya Vitabu na Machapisho mbalimbali ya Kiswahili katika viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja leo 18-3-2023, kabla ya kulifungua Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea maonesho katika viwanja vya ukumbi wa Mikutano wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjinin Unguja Jijini Zanzibar leo 18-3-2023,wakati akitembelea banda la maonesho la Bin Majid Decoration na kupata maelezo ya bidhaa za asili zinazotengenezwa kutoka kwa Bw.Makame Majid Suleiman.
WAANDISHI wa Habari wa Vyombo mbalimbali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani linalofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Sheikh.Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 18-3-2023, na kuwashirikisha Waandishi wa vyombo mbalimbani Duniani vinavotangaza kwa lugha ya Kiswahili.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani. Linalofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Sheikh Idrissa Abdulwaki Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.
BAADHI ya Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar na Mawaziri wa SMZ wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati akilifungua Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani linalofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalum na Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe.Tabia Maulid Mwita, baada ya kulifungua Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani linalofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 18-3-2023, na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Baraza la Kiswahili Zanzibar (BAKIZA) Dkt. Saade Said Mbarouk na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Mustafa Kitwana na (kulia kwa Waziri) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu)