Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Mheshimiwa Selemani Kakoso, akizungumza katika kikao kilichokuwakutanisha wajumbe wa Kamati hiyo pamoja na watendaji wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kujadili kuhusu Muundo na Majukumu ya Wizara Bungeni, jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (Ujenzi) akifafanua jambo wakati wa kikao kilichokuwakutanisha wajumbe wa Kamati Kudumu ya Bunge ya Miundombinu pamoja na watendaji wa Wizara hiyo kujadili kuhusu Muundo na Majukumu ya Wizara Bungeni, jijini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu Sekta ya Uchukuzi, Balozi Dkt. Ally Possi, akisisitiza jambo wakati wa kikao kilichokuwakutanisha wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu pamoja na watendaji wa Wizara kujadili kuhusu Muundo na Majukumu ya Wizara Bungeni, jijini Dodoma.
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Lazaro Kilahala, akitoa taarifa ya Muundo wa Wakala huo kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu wakati Kamati hiyo ilipokuwa ikipokea taarifa ya Muundo na Majukumu ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, Bungeni jijini Dodoma.
PICHA NA WUU