Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe wa Jumuiya ya Maridhiano Tanzania wakiwa pamoja na wageni kutoka Burundi na Kenya, wajumbe hao walimtembelea IGP Wambura ofisini kwake Makao Makuu ya Polisi yaliyopo jijini Dodoma mara baada ya kumaliza mkutano wao wa mwaka ambao hufanyika kila mwaka tarehe 3 ya mwezi machi tangu jumuiya iyo ilipoanzishwa mwaka 2016 ambapo kwa mwaka huu mkutano huo umefanyika mjini Dodoma.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura akiwa katika picha ya Pamoja na Mufti wa Burundi Shekh Ndikumagenge Masudi kulia kwake na kushoto ni Mufti kutoka Kenya Shekh Omar Buya Abubakar wageni hao walimtembelea IGP Wambura Ofisini kwake mjini Dodoma mara baada ya kuhudhuria mkutano wa viongozi wa jumuiya ya Maridhiani kutoka mikoa yote Tanzania kama wageni waalikwa.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura akiwa pamoja na baadhi ya wajumbe wa Jumuiya ya Maridhiano Tanzania wakiwa pamoja na wageni kutoka Burundi na Kenya, wajumbe hao walimtembelea IGP Wambura ofisini kwake Makao Makuu ya Polisi yaliyopo jijini Dodoma mara baada ya kumaliza mkutano wao wa mwaka ambao hufanyika kila mwaka tarehe 3 ya mwezi machi tangu jumuiya iyo ilipoanzishwa mwaka 2016 ambapo kwa mwaka huu mkutano huo umefanyika mjini Dodoma. (Picha na Jeshi la Polisi)