Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) Dkt.Akinwumi Adesina alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo akiwa na Ujumbe aliofuatana nao.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) Dkt.Akinwumi Adesina, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo akiwa na Ujumbe aliofuatana nao,katika mazungumzo hayo Viongozi wa Wizara ya Fedha Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar walihuduria.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akizungumza na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB)Dkt.Akinwumi Adesina (wa tano kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo akiwa na Ujumbe aliofuatana nao,katika mazungumzo hayo Viongozi wa Wizara ya Fedha Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar walihudhuria.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akimsikiliza Rais wa Benki ya Maendeleo Afrika (ADB) Dkt.Akinwumi Adesina wakati wa mazungumzo yao alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo akiwa na Ujumbe aliofuatana nao,katika hayo Viongozi wa Wizara ya Fedha Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar walihudhuruia .[Picha na Ikulu