RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka mchanga katika kaburi la Marehemu Mwema Omar Jongo, wakati wa maziko yake yaliyofanyika katika Makaburi ya Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B”Unguja leo 18-2-2023, na (kulia kwa Rais)Sheikh Thabit Noman Jongo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kutoa mkono wa pole kwa familia ya Marehemu Bi.Mwema Omar Jongo, Sheikh.Thabit Noman Jongo na Yussuf Khamis Jongo, alipowasili katika viwanja vya Masikiti wa Kwa Mohammed Ali Kibanda hatari Wilaya ya Mjini Unguja, kwa ajili ya kujumuika katika dua na Sala ya kumuombea marehemu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisiriki katika kisomo cha hitma na dua ya kumuombea Marehemu.Bi.Mwema Omar Jongo, kilichofanyika katika Msikiti wa Kwa Mohammed Ali Kibanda hatari Wilaya ya Mjini Unguja leo 18-2-2023,(kulia kwa Rais) Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Khalid Ali Mfaume na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Mustafa Kitwana na (kushoto kwa Rais) Sheikh Thabit Noman Jongo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki kuitikia dua ya kumuombea Marehemu Mwema Omar Jongo, baada ya kumalizika Sala ya Maiti ikisomwa na Sheikh Thabit Noman Jongo, iliyofanyika katika Msikiti wa Kwa Mohammed Ali Kibanda Hatari Wilaya ya Mjini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akitowa mkono wa pole kwa Familia ya Marehemu Mwema Omar Jongo, alipofika nyumbani kwa marehemu kwahani mchanga mwingi Wilaya ya Mjini Unguja leo 18-2-2023, na (kushoto kwa Rais) Sheikh.Thabit Noman Jongo na (kulia kwa Rais) Katibu Mtendaji wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Khalid Ali Mfaume.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki kuitikia dua na familia ya Marehemu Mwema Omar Jongo, ikisomwa na Sheikh.Thabit Noman Jongo (kushoto kwa Rais) alipofika nyumbani kwa marehemu Kwahani Mchanga mwingi,Wilaya ya Mjini Unguja kutowa mkono wa pole kwa familia leo 18-2-2023 ,na (kulia kwa Rais) Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Khalid Ali Mfaume.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika kuitikia dua ya kumuombea Marehemu Mwema Omar Jongo, ikisomwa na Katibu Mtendaji wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Khalid Ali Mfaume (kulia kwa Rais) baada ya kumalizika kwa maziko ya Marehemu Mwema Omar Jongo, yaliyofanyika katika makaburi ya Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 18-2-2023.(Picha na Ikulu).