RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Kiongozi wa Kampuni ya Puma Afrika Bw.Fadi Mitri (wa pili kulia) akiongoza Ujumbe wa Kampuni hiyo ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yanayohusu masuala mbali mbali ikiwemo uwekezaji wa Biashara ya Mafuta hapa Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisisitiza jambo wakati alipokuwa na mazungumzo na Ujumbe wa Kampuni ya Puma Afrika ukiongozwa na Kiongozi Mkuu Bw.Fadi Mitri (wa pili kulia) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar,mazungumzo hayo yanahusu masuala mbali mbali ikiwemo Bishara ya Mafuta hapa Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Kampuni ya Puma Afrika ukiongozwa na Kiongozi Mkuu Bw.Fadi Mitri (wa pili kulia) ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar,mazungumzo hayo yaliyogusa masuala mbali mbali ikiwemo uwekezaji katika Bishara ya Mafuta hapa Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Kiongozi wa Kampuni ya Puma Afrika Bw.Fadi Mitri akiongoza Ujumbe wa Kampuni hiyo (hawapo pichani) ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yanayohusu masuala mbali mbali ikiwemo uwekezaji wa Biashara ya Mafuta hapa Zanzibar.[Picha na Ikulu