Mwakilishi wa Vijana Wilaya ya Mjini Huzaima Mbaraka Tahir akimkabidhi Water Spencer Rais wa Serikali ya Wanafunzi ya Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KISTSO), Hassan Songoro Maulid, hafla iliyofanyika katika Taasisi hiyo Mbweni Zanziabar.
Baadhi ya Wafanyakazi na Wanafunzi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), wakiwa katika hafla ya makabidhiano ya Water Spencer kwa Serikali ya Wanafunzi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KISTSO), hafla iliyofanyika katika Taasisi hiyo Mbweni Zanziabar.
(PICHA NA MARYAM KIDIKO-KIST)