Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato na Matumizi ya Wizara, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza katika kikao cha kupitia taarifa ya Kamati hiyo kwa Robo ya Pili ya Mwaka wa Fedha 2022/2023, kilichofanyika jijini Dodoma
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato na Matumizi ya Wizara, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza katika kikao cha kupitia taarifa ya Kamati hiyo kwa Robo ya Pili ya Mwaka wa Fedha 2022/2023, kilichofanyika jijini Dodoma, leo. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Maduhu Kazi, na kulia ni Katibu wa Kamati, Jenitha Ndone.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Maduhu Kazi akimfafanulia jambo Waziri wa Wizara hiyo, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato na Matumizi ya Wizara, Mhandisi Hamad Masauni, kabla ya kuanza kikao cha Kamati hiyo cha kupitia taarifa ya Kamati kwa Robo ya Pili ya Mwaka wa Fedha 2022/2023, kilichofanyika jijini Dodoma
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato na Matumizi ya Wizara, Mhandisi Hamad Masauni (katikati), akimsikiliza Katibu wa Kamati hiyo, Jenitha Ndone, alipokuwa akizungumza na Wajumbe wa Kikao cha kupitia taarifa ya Kamati hiyo kwa Robo ya Pili ya Mwaka wa Fedha 2022/2023, kilichofanyika jijini Dodoma, leo. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Maduhu Kazi,
Wajumbe wa Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato na Matumizi ya Wizara wakimsikiliza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhandisi Hamad Masauni (hayupo pichani), katika kikao cha kupitia taarifa ya Kamati hiyo kwa Robo ya Pili ya Mwaka wa Fedha 2022/2023, kilichofanyika jijini Dodoma,
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato na Matumizi ya Wizara, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto) akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Maduhu Kazi wakati alipokuwa anawasili ukumbi wa mikutanojijini Dodoma kwa ajili ya kuongoza Kikao cha Kamati hiyo. Kulia ni Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu, Miriam Mmbaga.
Wajumbe wa Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakipitia nyaraka za kikao cha Kamati hiyo, wakati Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhandisi Hamad Masauni (hayupo pichani), alipokuwa anaongoza Kikoa hicho kilichofanyika jijini Dodoma,
Wajumbe wa Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakipitia nyaraka za kikao cha Kamati hiyo, wakati Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhandisi Hamad Masauni (hayupo pichani), alipokuwa anaongoza Kikoa hicho kilichofanyika jijini Dodoma, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.