Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemeni Jafo akiongoza kikao na Menejimenti ya Ofisi ya Makamu wa Rais kwa ajili ya kupitia taarifa za miradi mbalimbali inayotekelezwa na Ofisi hiyo, kikao kilichofanyika leo Februari 07, 2023 jijini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)