Na Mwandishi wetu
Naibu Waziri wa Ardhi, Ridhiwani Kikwete ameeleza kuwa Rais dkt Samia Suluhu Hassan Ameridhia kutoa Heka 4,500 na kiasi cha sh.Bilioni Moja Kupanga,Kupima na Kumilikisha Kiegea Morogoro.
Amesema wamefanya mkutano na wananchi wa kutatua changamoto za ardhi na wamewapa habari njema kuwa Rais wao mpendwa dkt.Samia Suluhu Hassan amesikia kilio chao.
“Serikali hii ni sikivu,hivyo tunaendelea kutatua changamoto mbalimbali za ardhi,na kupanga miji ili kupunguza migogoro ya ardhi #KaziInaendelea #ArdhiYetu