Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Ndg. Mary Chatanda alipomtembelea leo tarehe 3 Februari, 2023 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Ndg. Mary Chatanda alipomtembelea leo tarehe 3 Februari, 2023 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Ndg. Mary Chatanda (kulia kwake) alipomtembelea leo tarehe 3 Februari, 2023 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni Naibu Katibu UWT Tanzania Bara, Ndg. Riziki Kingwande na Msaidizi wa Mwenyekiti huyo, Ndg. Dotto Maganga
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiagana na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Ndg. Mary Chatanda alipomtembelea leo tarehe 3 Februari, 2023 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto ni Msaidizi wa Mwenyekiti huyo, Ndg. Dotto Maganga
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)