Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akizungumza na Balozi wa Uturuki nchini Tanzania, Dkt. Mehmet Gulluoglu kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Uturuki katika kikao kilichofanyika jijini Dar es Salaam, leo Alhamisi Januari 26, 2023. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.