Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) nchini, Christina Musisi kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania Shirika hilo katika kikao kilichofanyika jijini Dar es Salaam, leo Januari 25, 2023. Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa UNDP anayeshughulikia miradi, Amon Manyama.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akimsikiliza Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa (UN) nchini Tanzania, Zlatan Milisic alipokuwa akizungumzia masuala mbalimbali kuhusu ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Umoja wa Mataifa katika kikao kilichofanyika jijini Dar es Salaam,
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) nchini, Christina Musisi baada ya mazungumzo yao kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania Shirika hilo katika kikao kilichofanyika jijini Dar es Salaam
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akipongezana na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa (UN) nchini Tanzania, Zlatan Milisic baada ya kumaliza mazungumzo yao kuhusu masuala ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Umoja wa Mataifa katika kikao kilichofanyika jijini Dar es Salaam
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akifurahi jambo na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) nchini, Christina Musisi wakati wa kikao chao kilichojadili ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Shirika hilo kilichofanyika jijini Dar es Salaam, leo Januari 25, 2023. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.