Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi pia Mwenyekiti wa mkutano wa tano wa Baraza la Taifa la Biashara (katikati) alipokuwa akizungumza na wajumbe wa Baraza hilo uliofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulku Jijini Zanzibar.[picha na ikulu] 22/01/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi pia Mwenyekiti wa kikao cha tano cha Baraza la Taifa la Biashara (katikati) akiendesha mkutano wa baraza hilo uliofantyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, [picha na ikulu] 22/01/2023.
Baadhi ya wajumbe wa Baraza la Taifa la Biashara wakipitia kuangalia mada zilizotolewa katika mkutano wa tano wa Baraza la hilo uliofanyika leo chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Ikulku Jijini Zanzibar.[picha na ikulu] 22/01/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi pia Mwenyekiti katika mkutano wa tano wa Baraza la Taifa la Biashara alipokuwa akisistiza jambo wakati alipozungumza na wajumbe wa Baraza hilo leo uliofanyika katika Ukumbi wa Ikulku Jijini Zanzibar.[picha na ikulu] 22/01/2023.