WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na wazee wa Jimbo la Kikwajuni, Unguja, Zanzibar, katika ziara yake ya kutembelea wazee, wagonjwa na waliofiwa na ndugu zao jimboni humo, katika ziara yake aliyoianza leo
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, Mhandisi Hamad Masauni (wapili kulia) akimsikiliza bibi Salma Haji Othman alipomtembelea nyumbani kwake kumjulia hali na kusikiliza changamoto zake jimboni humo, leo Januari 16, 2023. Kulia ni Mwakilishi wa Jimbo hilo, Nassor Ali Jazeerah,
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, Mhandisi Hamad Masauni akitembea mitaani na viongozi na wanachama wa CCM katika ziara yake ya nyumba kwa nyumba ya kutembelea wazee, wagonjwa, jimboni humo, Unguja, Zanzibar
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, Mhandisi Hamad Masauni akisalimiana na Mzee Idd Abdala Seif katika jimboni kwake, Unguja, Zanzibar, leo Januari 16, 2023 wakati alipokuwa anafanya ziara ya kutembelea wazee na wagonjwa jimboni humo.
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, Mhandisi Hamad Masauni (kulia) akizungumza na Mzee Nasoro Tajiri jimboni kwake wakati alipokuwa anafanya ziara ya kutembelea wazee na wagonjwa jimboni humo, Unguja, Zanzibar,
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto) na Mwakilishi wa Jimbo hilo, Nassor Ali Jazeerah, wakimsikiliza bibi Pili Khamis walipomtembelea nyumbani kwake kwa ajili ya kumjulia hali na kusikiliza changamoto zake jimboni humo, leo Januari 16, 2023. Kulia ni,
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto) akimsikiliza Katibu wa CCM Jimbo la Kikwajuni, Khamisi Rashid alipokuwa anazungumza na viongozi wa CCM Jimbo la Kikwajuni, Unguja Zanzibar kabla ya kuanza ziara yake ya kutembelea wazee na wagonjwa jimboni humo, katika ziara yake aliyoianza leo Januari 6, 2023. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.