Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Taifa ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan akipokea Matembezi ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) katika shamrashamra za kuadhimisha miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika Kijiji cha Paje, Mkoa wa Kusini Unguja
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Taifa ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan akipokea Bendera kutoka kwa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mara Ndugu Marry Daniel kama ishara ya kuhitimisha Matembezi ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM katika shamrashamra za kuadhimisha miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika Kijiji cha Paje, Mkoa wa Kusini Unguja
Wazee ambao ni Chipukizi wa zamani wakipita kwa ukakamavu mbele ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Taifa ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan katika shamrashamra za kuadhimisha miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika Kijiji cha Paje, Mkoa wa Kusini Unguja
Matembezi ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM yakipita mbele ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Taifa ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan katika shamrashamra za 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika Kijiji cha Paje, Mkoa wa Kusini Unguja
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Taifa ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali pamoja na Vijana wa Umoja wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) wakati akihitimisha Matembezi ya Vijana hao katika za kuadhimisha miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika Kijiji cha Paje, Mkoa wa Kusini Unguja
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye shamrashamra za kuadhimisha miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika Kijiji cha Paje, Mkoa wa Kusini Unguja
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Taifa ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan akikabidhi Vyeti kwa baadhi ya Wadau waliowezesha kufanikisha Matembezi ya Vijana wa Umoja wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) katika kuadhimisha miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika Kijiji cha Paje, Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 10 Januari, 2023.