Mwenyekiti wa UVCCM Taifa pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Ndg.Mohamed Ali (Kawaida)alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kuzungumza na Vijana wa Uvccm Zanzibar na kuzindua matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar yaliyoanzia viwanja vya Mnaranwa Kisonge,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipozungumza na Vijana wa Uvccm Zanzibar na kuzindua matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar yaliyoanzia viwanja vya Mnara wa Kisonge,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi ambapo watatembea kwa siku tano katika Wilaya za Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipotoa hutuba ya uzinduzi wa matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar na Tanzania Bara yaliyoanzia viwanja vya Mnara wa Kisonge,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo,ambapo watatembea kwa siku tano katika Wilaya za Zanzibar (wapili kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mlezi wa UVCCM Mama Mariam Mwinyi, (kulia) Mwenyekiti wa UVCCM Taifa pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Ndg.Mohamed Ali (Kawaida).
Vijana wa Umoja wa Vijana UVCCM wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipotoa hutuba ya uzinduzi wa matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar na Tanzania Bara yaliyoanzia viwanja vya Mnara wa Kisonge,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo,ambapo watatembea kwa siku tano katika Wilaya za Zanzibar.
Vijana wa Umoja wa Vijana UVCCM wakinyoosha mikono juu kuunga kushangilia na kumkubali Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati alipotoa hutuba ya uzinduzi wa matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar na Tanzania Bara yaliyoanzia viwanja vya Mnara wa Kisonge,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo,ambapo watatembea kwa siku tano katika Wilaya za Zanzibar.
Baadhi ya Viongozi wa Chama cha mapinduzi wakiwa katika uzinduzi wa matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar na Tanzania Bara yaliyoanzia viwanja vya Mnara wa Kisonge,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo,ambapo watatembea kwa siku tano katika Wilaya za Zanzibar mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) akimkabidhi Bendera Msaidizi wa matembezi Merry Daniel Joseph kutoka Mkoa wa Mara katika uzinduzi wa matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar na Tanzania Bara yaliyoanzia viwanja vya Mnara wa Kisonge,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo (kushoto) Mwenyekiti wa UVCCM Taifa pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Ndg.Mohamed Ali (Kawaida),
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) akimkabidhi Bendera Kiongozi wa Matembezi,Mwenyekiti Mstaafu wa UVCCM Mkoa wa Kaskazini Unguja Ndg.Pandu Salum Sungura, katika uzinduzi wa matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar na Tanzania Bara yaliyoanzia viwanja vya Mnara wa Kisonge,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo,(wa pili kushoto) Mwenyekiti wa UVCCM Taifa pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Ndg.Mohamed Ali (Kawaida) na Makamo Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg,Rehema Sombi Omar (kushoto).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiongoza matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar na Tanzania Bara yaliyoanzia viwanja vya Mnara wa Kisonge,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo,akijumuika na Viongozi mbali mbali wa UVCCM, akiwepo na Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mlezi wa UVCCM Mama Mariam Mwinyi(wa tatu kushoto) ambapo watatembea kwa siku tano katika Wilaya za Zanzibar .[Picha na Ikulu.