Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisimama pamoja na Viongozi mbali mbali wakati wimbo wa Taifa ukipigwa katika hafla ya Utiaji wa Saini Makubaliano ya Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Pemba, baina ya Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi na Kampuni ya Propav kutoka nchini Barazil na Kampuni ya Mecco Tanzania,iliyofanyika leo ukumbi Ikulu Jijini Zanzibar katika mwendelezo wa shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Mwansheria Mkuu wa Zanzibar Dkt. Mwinyi Talib Haji(kushoto) akiwa na Mawaziri wa Wizara za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Viongozi wengine wakiwa katika hafla ya Utiaji wa Saini Makubaliano ya Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Pemba, baina ya Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi na Kampuni ya Propav kutoka nchini Barazil na Kampuni ya Mecco Tanzania, iliyofanyika leo ukumbi Ikulu Jijini Zanzibar mwendelezo wa shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Viongozi Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama wakishuhudia hafla ya Utiaji wa Saini Makubaliano ya Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Pemba, baina ya Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi na Kampuni ya Propav kutoka nchini Barazil na Kampuni ya Mecco Tanzania iliyofanyika leo ukumbi Ikulu Jijini Zanzibar ,katika mwendelezo wa shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akishuhudia Utiaji wa Saini Makubaliano ya Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Pemba, baina ya Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Bi.Fatma Khamis Rajab (kulia) na Mkurugenzi Kampuni ya Mecco Tanzania Ndg.Nasser Abdulkadir Sheikh katika hafla iliyofanyika leo ukumbi Ikulu Jijini Zanzibar, katika mwendelezo wa shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akishuhudia Utiaji wa Saini Makubaliano ya Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Pemba, baina ya Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Bi.Fatma Khamis Rajab (kulia) na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara Nchini Brazil Leandro Motta (kushoto) hafla iliyofanyika leo ukumbi Ikulu Jijini Zanzibar, katika mwendelezo wa shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akitoa hutuba yake katika hafla ya Utiaji wa Saini Makubaliano ya Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Pemba, baina ya Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi na Kampuni ya Propav kutoka nchini Barazil na Kampuni ya Mecco Tanzania,iliyofanyika leo ukumbi Ikulu Jijini Zanzibar katika mwendelezo wa shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake kwa wananchi na Viongozi katika hafla ya Utiaji wa Saini Makubaliano ya Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Pemba, baina ya Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi na Kampuni ya Propav kutoka nchini Barazil na Kampuni ya Mecco Tanzania,iliyofanyika leo ukumbi Ikulu Jijini Zanzibar katika mwendelezo wa shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake kwa wananchi na Viongozi katika hafla ya Utiaji wa Saini Makubaliano ya Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Pemba, baina ya Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi na Kampuni ya Propav kutoka nchini Barazil na Kampuni ya Mecco Tanzania,iliyofanyika leo ukumbi Ikulu Jijini Zanzibar katika mwendelezo wa shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu